Kwa nini wakenya wengi wanaishi kwenye ndoa zisizo halali?

  • | KBC Video
    36 views

    Jaji wa mahakama ya upeo Njoki Ndung'u ameeleza kufadhaishwa na idadi kubwa ya ndoa ambazo hazijasajiliwa humu nchini. Kwenye hotuba katika chuo kikuu cha kilimo na teknolojia cha Jomo Kenyatta, jaji Ndung'u alisema wanandoa wengi hawana ufahamu wa hitaji la kisheria la kusajili ndoa zao katika kipindi cha miezi sita. Hali kadhalika alisisitiza haja ya dharura ya sajili ya kisasa ya ndoa ambayo imesalia kwenye madaftari, ikiliganishwa na mifumo ya dijitali ya usajili wa watoto na vifo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive