13 Nov 2025 7:30 pm | Citizen TV 436 views Duration: 1:41 Kaunti ya Kwale itakuwa mwenyeji wa mashindano ya uendeshaji baisikeli ya Afrika ya 'CAC' yatakayofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 19 hadi 23 katika maeneo ya Diani na Kwale