Kwanini Uchaguzi wa Afrika Kusini 2024 ni muhimu kuliko zilizopita

  • | BBC Swahili
    1,122 views
    Uchaguzi wa Afrika Kusini unafuatiliwa kwa karibu sana duniani kote. Kwanini unatajwa kuwa wa muhimu na tofauti zaidi kuliko chaguzi zingine zozote zilizopita tangu mwaka 1994 walipofanya uchaguzi wa Kidemokrasia? - - - #bbcswahili #afrikakusini #uchaguziafrikakusini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw