Lugha za Kigeni I Warsha ya uhamasisho yaandaliwa Nairobi

  • | KBC Video
    1 views

    Katika hatua ya kuimarisha lugha mbalimbali na kuwamotisha wanafunzi kujifunza lugha ili kufaidi siku za usoni wanapokamilisha masomo ya sekondari, taasisi ya Kenya institute of Foreign Languages and Professional Studies iliandaa warsha iliyowaleta pamoja wanafunzi kutoka shule mbalimbali jijini Nairobi, ili kutambua umuhimu wa lugha za kigeni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News