M23 na DRC kukaa meza moja ya mazungumzo, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    20,002 views
    Serikali ya Rwanda imesitisha uhusiano wa Kidiplomasia na Ubelgiji, katika hatua ambayo inahusishwa na mzozo unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Taifa hilo limeishutumu Ubelgiji kwa kuhamasisha Jumuiya ya kimataifa kuiwekea Rwanda vikwazo. Kesho Jumanne, Machi 18, mkutano unaosubiriwa kwa hamu na wengi kati ya kundi la M23 na Serikali ya Kinshasa utaandaliwa mjini Luanda, Angola.