Maafisa 51 wa afya waachishwa kazi katika kaunti ya Baringo

  • | Citizen TV
    251 views

    Maafisa 51wa afya waliokuwa wakifanya kazi katika hospitali ya Baringo chini ya mpango wa ufadhili wa USAID wameachishwa kazi huku matibabu ya waliothirika na virusi vya HIV wakiachwa solemba.