Kazi ni kazi : Robert Manyala

  • | KBC Video
    22 views

    Katika ulimwengu wa Sasa, wengi wamekuwa na ndoto ya kujiajiri ili kujikimu maishani. Hata hivyo sio wote wamefanikiwa kutimiza ndoto hiyo ila wamo kwenye safari ya mafanikio. Katika makala yetu ya Kazi ni Kazi, Fredrick Muoki anamwangazia Robert Manyala aliyeanzisha kampuni ya Kutengeneza programu za kidigitali na sasa ameajiri zaidi ya wafanyikazi mia moja.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive