Je ni kwanini Trump ameamua kulifunga shirika la USAID

  • | BBC Swahili
    98 views
    Maelfu ya wafanyakazi katika Shirika la Misaada la Marekani (USAID) wataanza likizo kuanzia Ijumaa usiku Taarifa ya USAID inasema agizo hilo litaathiri "wafanyakazi walioajiriwa" isipokuwa wale walio kwenye 'kazi na programu maalum zilizochaguliwa'. Hii inafuatia msururumaagizo ya Rais Donald Trump kupunguza programu zinazofadhiliwa na serikali tangu alipoingia ofisini kama Rais wa Marekani. Utawala wake umesema USAID inafuja pesa na inahitaji kuendana na vipaumbele vyake vya sera. Mustakabali wa shirika hili la Marekani upo mashakani. Je ni kwanini Trump ameamua kulifunga shirika hili? Mariam Mjahid anaelezea #bbcswahili #marekani #USAID Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw