Maafisa wa hazina ya CDF waendesha zoezi la kukusanya maoni ya kumuondoa Gachagua Mombasa

  • | Citizen TV
    443 views

    Huko Mombasa Maafisa Wa Hazina Ya Cdf Ndio Waliendesha Zoezi La Kukusanya Maoni Ya Kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Idadi Ndogo Ya Watu Ilishuhudiwa Katika Maeneo Bunge Ya Mvita, Kisauni Na Nyali Huku Milolongo Ya Watu Ikishamiri Huko Jomvu.