13 Nov 2025 7:22 pm | Citizen TV 4,339 views Duration: 1:20 Maafisa watatu wa GSU wamejeruhiwa Kwa kupigwa risasi na wahuni katika eneo la Barsaloi, Samburu kaskazini, walipokuwa wakishika doria kwenye barabara kuu ya Maralal kuelekea Baragoi