Maandalizi Ya CHAN 2025 Yanazidi Kushika Kasi

  • | TV 47
    86 views

    Maandalizi Ya CHAN 2025 Yanazidi Kushika Kasi

    Waziri Mteule Wa Michezo, Salim Mvurya, amesisitiza ahadi ya serikali ya kuandaa michuano ya Kombe La Mataifa Ya Afrika (CHAN) mwezi Februari mwakani kwa kuhakikisha miundombinu inayohitajika inakamilishwa.

    Mvurya alithibitisha kwamba viwanja vya michezo na maeneo ya mazoezi vya nchi yataandaliwa kabla ya tarehe ya mwisho ilioainishwa na shirikisho la soka la afrika (CAF).

    #TV47Wikendi #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __