Maandalizi ya siku ya redio duniani yashika kasi KBC

  • | KBC Video
    12 views

    Shirika la utangazaji la Kenya hivi karibuni litazindua mradi wa nishati ya miale ya jua kutoa umeme kwa vituo vya redio vya kijamii. Mkurugenzi mkuu wa KBC, Agnes Kalekye anasema shirika hili la kitaifa linatafuta washirika kuliwezesha kupeperusha matangazo kwa wakati halisi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive