Maandalizi ya ufunguzi wa shule yapamba moto

  • | KBC Video
    169 views

    Wazazi wamelalamikia kupanda kwa bei za vitabu vya kusoma na sare za shule huku wanafunzi wa shule za umma wakijiandaa kwa mhula wa kwanza wa masomo ambao utaanza Jumatatu ijayo tarehe 6 mwezi Januari mwaka 2025. Uchunguzi uliofanywa na runinga ya KBC katika maduka mbalimbali ya vitabu na ya kuuza sare za shule jijini Nairobi unadhihirisha nyakati ngumu za kiuchumi wakenya wanakabiliana nazo huku waliohojiwa wakisema bei hizo zimeongezwa mara dufu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive