- 356 viewsDuration: 2:31Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki sasa linailaumu serikali kwa kujitia hamnazo kuhusiana na hali ya elimu na afya nchini. Maaskofu hawa wanasema, kutolipwa kwa madeni ya bima ya afya kwa taasisi za makanisa na kukosa uwazi wa mfumo wa elimu wa CBE kunatia wasiwasi.