Mabingwa wa kuigiza shuleni watua Ikulu ya Nakuru

  • | Citizen TV
    270 views

    Washindi wa maonyesho ya kitaifa ya michezo ya kuigiza na filamu yaliyokamilika Jumanne wanamtumbuiza Rais William Ruto kwenye Ikulu ndogo ya Nakuru