Machafuko DRC: Je chimbuko la vita kati ya M23 na DRC ni nini?

  • | BBC Swahili
    85,587 views
    Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kumeshuhudiwa mzozo na ukosefu wa utulivu. Kwa muda usiokuwa chini ya miongo mitatu. Ila katika muongo mmoja uliopita, mapigano makali yamezuka mara kwa mara. - Je machafuko haya yalianzaje? M23 wanahusika vipi? Je na kwanini Rwanda inatajwa? - Mwandishi wa BBC @munie_noor anelezea zaidi - Kutazama kwa urefu zaidi makala hii, tembelea ukurasa wa Youtube wa BBCSwahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw