Madaktari kaunti ya Nairobi watishia kugoma

  • | KBC Video
    39 views

    Madaktari wanaofanya kazi katika vituo vya afya vya umma katika Kaunti ya Nairobi sasa wametishia kugoma alhamisi hii. Kulingana na mwenyekiti wa chama cha madaktari nchini –KMPDU tawi la Nairobi Deogracious Maelo, mgomo huo umesababishwa na kushindwa kwa serikali ya kaunti ya Nairobi kutimiza matakwa kadhaa miongoni mwao kushughulikia swala la mishahara. Maelo alisikitika kuwa maswala hayo yamewalemaza na kuathiri vibaya utoaji huduma wa madaktari katika kaunti ya Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive