Madaktari walio chini ya mpango wa UHC waandamana Machakos

  • | Citizen TV
    80 views

    Madaktari walio chini ya mpango wa Huduma ya Afya kwa Wote (UHC) Mashariki MWa Chini wamefanya maandamano katika mitaa ya mji wa Machakos, wakielezea kufadhaika kwao kutokana na kucheleweshwa kwa malipo ya mishahara na serikali ya kitaifa.