Madaktari wapeleka malalamishi kwa wizara ya afya

  • | K24 Video
    39 views

    Mamia ya madaktari watarajali chini ya muungano wa KMPDU wameapa kutolegeza kamba katika kushinikiza wizara ya afya kutekeleza matakwa yao. Makundi hayo yalikutana nje ya afisi za wizara ya afya (MOH) wakitaka kuajiriwa mara moja baada ya miaka miwili ya kusubiri