Madereva wanalalamikia kutozwa ada ya kutumia barabara

  • | Citizen TV
    1,702 views

    Baadhi ya wamiliki na madereva wa malori kutoka kajiado kaskazini wanakadiria hasara baada ya kuegesha malori yao barabarani kwa madai kuwa wanatozwa ada kutumia barabara ya umma wanapoenda kubeba madini ya chokaa na bidhaa zingine za kutengeneza saruji