Skip to main content
Skip to main content

Maelfu ya watahiniwa wa gredi ya sita na ya tisa waanza rasmi mitihani yao ya tathmini ya kitaifa

  • | NTV Video
    370 views
    Duration: 4:33
    Maelfu ya watahiniwa wa gredi ya sita na ya tisa wameanza rasmi mitihani yao ya tathmini ya kitaifa. Shughuli hiyo imeonekana kuanza kwa utulivu katika kaunti nyingi huku maafisa wa elimu wakitoa hakikisho la usalama na kuonya vikali dhidi ya udanganyifu wa mitihani. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya