Maendeleo mashinani : Jamii ya Yaku Laikipia yataka Wadi yao

  • | KBC Video
    1 views

    Jamii ya Yiaku katika eneo la Lakipia Kaskazini wameitaka serikali kubuni wadi yao ili kufanikisha maendeleo katika eneo hilo. Jamii hiyo inakabiliwa na changamoto kadhaa zikiwemo ukosefu wa huduma za kimsingi kama vile afya na elimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive