Mafunzo ya bure dhidi ya ukeketaji yatolewa Narok

  • | Citizen TV
    40 views

    Baadhi ya viongozi wa makundi ya jamii kutoka eneo la Narok Mashariki wamekutana kujadili masuala ya afya, kumaliza mila potovu, na kutoa hamasisho kuhusu uwajibikaji kwa viongozi na wananchi.