‘’Mafurushi makubwa hayataruhisiwa huku’’

  • | BBC Swahili
    2,323 views
    Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania treni ya abiria ya umeme inatarajia kuanza safari zake rasmi kutoka jiji kuu la kibiashara Dar es salaam kuelekea mkoa wa Morogoro safari ambayo inatarajiwa kuwa ya saa moja na dakika arobaini na tisa badala ya saa tatu mpaka saa nne kwa gari. Hii ni awamu ya kwanza ya safari hizo baada ya kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR mpaka mji mkuu Dodoma. - 🎥: @eagansalla_gifted_sounds - - - #bbcswahili #tanzania #sgr Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw