Magavana watishia kusimamisha huduma baada ya kupunguzwa kwa bajeti

  • | KBC Video
    45 views

    Mzozo unatokota katika kaunti huku magavana wakitishia kusimamisha huduma baada ya wiki mbili kupinga kupunguzwa kwa bajeti, hatua wanayodai inalenga kulemaza ugatuzi. Baraza la magavana limeghadhabishwa kuhusiana na punguzo la shilingi bilioni 38.4 katika mgao wa kaunti, fedha ambazo wanasema zimeelekezwa kwa serikali ya kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News