Magenge ya wahalifu yaagizwa kuasi uhalifu eneo la Diani.

  • | Citizen TV
    132 views

    Baadhi ya vijana ambao wamekua wakidaiwa kujihusisha na makundi ya kihalifu na kuvamia wakaazii kwa kuwakata panga eneo la Diani Kaunti ya Kwale wametakiwa kuacha uhalifu na kujihusisha na masuala ya maendeleo