Skip to main content
Skip to main content

Mahakama imemwachilia huru bila mashtaka yeyote Mholanzi aliyekamatwa na kuzuiliwa mwezi jana

  • | Citizen TV
    3,672 views
    Duration: 1:30
    Raia wa uholanzi aliyekamatwa na kuzuiliwa mwezi jana baada ya kuwadhalilisha maafisa wa polisi wa Diani kaunti ya Kwale, amewachiliwa huru bila mashtaka yeyote.