Mahakama kuu imesitisha kung'satuliwa kwa Gavana Kawira Mwangaza

  • | NTV Video
    541 views

    Katika taarifa zinazotufikia sasa ni kwamba mahakama kuu imesitisha kung'atuliwa mamlakani kwa gavana wa meru kawira mwangaza. Katika kesi ya dharura iliyowasilishwa mahakamani na gavana huyo, mahakama imetoa amri kwa bunge au mtu yeyete kutochapisha kwenye nakala ya gazeti la serikali nafasi ya gavana wa kaunti hiyo. kesi hiyo itasikilizwa tarehe 17 septemba 2024. Ikumbukwe seneti iliidhinisha kung'olewa kazini kwa gavana huyo wa meru baada ya kumpata na hatia ya mashtaka matatu yaliyomkabili,....

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya