12 Nov 2025 1:25 pm | Citizen TV 351 views Duration: 1:46 Hakimu Mkuu Katika Mahakama Ya Iten Kaunti Ya Elgeyo Marakwet Gladys Adhiambo, ametaja Kesi zinazoshughulikiwa nyumbani kuwa kikwazo kikuu katika upatikanaji wa haki kwa watoto wanaodhulumiwa katika kaunti hiyo.