- 640 viewsDuration: 3:22Usajili wamakonstebo wa polisi ulipata pigo jingine hii leo wakati mahakama kuu ilipoizuia huduma ya taifa ya polisi kuandaa shughuli hiyo tarehe 17 mwezi huu. Jaji Bahati Mwamuye alitoa maagizo hayo baada ya mlalamishi Eliud Matindi, kupinga uhalali wa kikatiba wa usajili huo utakaoandaliwa na inspekta jenerali wa polisi na huduma ya kitaifa ya polisi badala ya tume ya kitaifa ya huduma ya polisi. Ruth Wamboi atuarifu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive