Mahakama yabatilisha maagizo yakusitisha utekelezaji wa maisha namba

  • | TV 47
    29 views

    Mahakama Kuu ya Milimani imebatilisha maagizo ya awali yaliyokuwa yamesitisha utekelezaji wa kitambulisho cha kibinafsi, maarufu kama maisha namba. Katika uamuzi wake jumatatu, mahakama ilisema kuwa serikali ilionyesha kuwa kusimamisha usajili wa wananchi kuna athari mbaya.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __