Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yaridhia shughuli ya usajili makurutu kuendelea

  • | KBC Video
    214 views
    Duration: 43s
    Huduma ya kitaifa ya polisi na inspekta jenerali wa polisi sasa wanaweza kuendelea na shughuli ya usajili wa maafisa wa polisi baada ya mahakama kuu kuweka kando uamuzi uliotolewa siku ya Jumatatu iliyopita uliositisha shughuli hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive