Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yasitisha malipo ya kidijitali, jopo la fidia lapigwa breki

  • | Citizen TV
    1,891 views
    Duration: 2:37
    Serikali imepata pigo baada ya mahakama ya kerugoya kufutilia mbali kwa muda jopo la kuwafidia waathiriwa wa maandamano nchini, huku mahakama kuu ya nairobi pia ikisimamisha utumizi wa mfumo wa serikali wa kuchukua zabuni e-GPS.Wakitoa uamuzi wao, majaji wote wawili walisema serikali haikufuata sheria wakati wa kutoa maamuzi yake, ikisitisha mikakati hiyo hadi wakati ambapo kesi hizo zitasikizwa.