Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yasitisha uzinduzi wa mfumo wa kielektroniki wa utoaji zabuni za serikali

  • | KBC Video
    67 views
    Duration: 2:55
    Uzinduzi wa mfumo wa kielektroniki wa utoaji zabuni za serikali ulipata pigo baada ya mahakama kuu jijini Nairobi kusitisha utekelezaji wake wa lazima. Jaji Bahati Namuye alitoa uamuzi kwamba mawasilisho ya zabuni kwa njia ya awali pamoja na ile ya kielektroniki yanafaa kukubaliwa kwa sasa, ikisubiriwa kusikizwa kwa ombi la kupinga agizo hilo la wizara ya fedha pamoja na halmashauri ya umma ya kudhibiti utoaji zabuni. Taarifa hii na nyingine kemkem katika mizani ya haki zinapakuliwa na ripota wetu Letuaa Debra. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive