- 67 viewsDunia inapokamilisha siku 16 za kupambana na ukatili wa kijinsia wizara za sheria na haki nchini Kenya zinalaumiwa kwa kuchukua muda mrefu kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria wanaotekeleza vitendo hivvyo. Hali ambayo imesababisha wengi wanaodhulumiwa kushindwa kupata haki. Wadau wanasisitiza kuna haja ya kuielimisha jamii kuhusu umuhimu wa kushughulikia visa hivi vinavyozidi kuongezeka nchini humo. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Mahakama za Kenya zalaumiwa kwa kutochukua hatua dhidi ya ukatili wa kijinsia
- - Uga wa majahili ››
- 22 Dec 2024 - The Somali government is “open” to a potential role for Ethiopian troops in an African Union mission scheduled to take over peacekeeping operations in the country next month.
- 21 Dec 2024 - Speaking during a thanksgiving event for Catherine Kyee, a Wiper-nominated MCA in Machakos County, Kalonzo accused the President of presiding over a dysfunctional government driven by self-interest.
- 21 Dec 2024 - Germans on Saturday mourned both the victims and their shaken sense of security after a Saudi doctor intentionally drove into a Christmas market teeming with holiday shoppers, killing at least five people, including a small child, and injuring at least…
- 21 Dec 2024 - Pope Francis on Saturday again condemned Israeli airstrikes in Gaza, a day after an Israeli government minister publicly denounced the pontiff for suggesting the global community should study whether the military offensive there constitutes a genocide…
- 21 Dec 2024 - Speaking at a wedding ceremony in Mombasa, the President emphasised that finger-pointing and blame games will not solve problems like femicide and drug trafficking.
- 21 Dec 2024 - A French court sentenced eight people to prison terms ranging from one to 16 years for their roles in a hate campaign that culminated in the murder of a teacher who had shown caricatures of the Prophet Mohammad in class, local media reported.
- 21 Dec 2024 - A court on Friday acquitted Italian Deputy Prime Minister Matteo Salvini of charges of kidnapping over 100 migrants aboard a boat he had blocked at sea for nearly three weeks in 2019, as part of a policy to curb irregular arrivals.
- 21 Dec 2024 - Murkomen emphasised the government's commitment to ensuring peace and security during the Christmas and New Year holidays.
- 21 Dec 2024 - The Biden administration on Friday withdrew a proposed rule change that would have prohibited schools from banning transgender athletes from teams matching their gender identities.
- 21 Dec 2024 - Israeli airstrikes killed at least 25 Palestinians in the Gaza Strip on Friday, medics said, including at least eight in an apartment in the Nuseirat refugee camp and at least 10, including seven children, in the town of Jabalia.