Majaji watatu watarajiwa kuamua kesi ya kuondolewa kwa Gachagua na kuapishwa kwa Kindiki

  • | NTV Video
    2,764 views

    Jopo la majaji watatu wanatarajiwa Adhuhuri hii kutoa uamuzi wa iwapo jiopo hilo linastahili kusikiliza kesi ya kuondolewa marufuku ya kuapishwa kwa kithure kindiki kama naibu wa rais. Kesi hiyo iliwasilishwa mbele ya majaji hao watatu na upande wa naibu rais aliyebanduliwa Rigathi Gachagua akiteta kuwa jopo hilo lilibuniwa na naibu jaji mkuu kinyume cha sheria.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya