10 Sep 2025 10:44 am | Citizen TV 1,353 views Duration: 1:06 Majaji wa mahakama ya upeo sasa wametoa onyo kuhusu uchochezi dhidi ya tume ya IEBC huku taifa likijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027.