Skip to main content
Skip to main content

Makamu wa Rais wa Kwanza Sudan Kusini Dkt Riek Machar ashtakiwa

  • | Citizen TV
    5,247 views
    Duration: 2:38
    Hali ya taharuki imetanda Sudan Kusini, baada ya makamu wa rais wa kwanza Dkt. Riek Machar, kushtakiwa kwa uhaini na mauaji ya halaiki. Machar anatuhumiwa kwa kuwafadhili waasi wa white army walioshambulia na kuwauwa watu 250. Tukio hilo limeibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa vita vya kijamii nchini humo, baada ya miaka saba ya utulivu kufuatia mkataba wa amani wa mwaka wa 2018.