Makavazi ya Kitaifa yatoa mafunzo ya kuhifadhi turathi

  • | Citizen TV
    28 views

    Makavazi ya Kitaifa ya kenya (NMK) kwa ushirikiano na shirika lisilo la serikali yameanza mpango wa kutoa mafunzo ya turathi ili kubuni nafasi za kazi katika sekta hiyo