Mama wa miaka 60 auawa kinyama nyumbani kwake Laikipia

  • | Citizen TV
    1,654 views

    Polisi katika kituo cha Rumuruti eneo mbunge la Laikipia West wanachunguza kisa ambopo mama mmoja mwenye umri wa miaka 60 aliuwawa kinyama nyumbani kwake katika kijiji cha Gatundia Kumapili mchana.