Skip to main content
Skip to main content

Mamilioni ya wanafunzi kuanza mtihani wa kwanza wa CBE kesho

  • | Citizen TV
    547 views
    Duration: 2:24
    Mamilioni ya wanafunzi wa gredi ya sita na ya tisa wanafanya mtihani wao wa utathmini wa kitaifa kuanzia hapo kesho. Serikali kupitia wizara ya elimu na ile ya usalama wa kitaifa imewahakikishai wanafunzi na walimu kuwa maandalizi yamekamilika. Huu utakuwa utathmini wa kwanza kwa wanafunzi walianza sekondari msingi chini ya mtaala mpya wa CBE