Mamluki jeshi la Congo wapokelewa Rwanda

  • | BBC Swahili
    35,866 views
    Wanajeshi wa Romania waliokuwa wakisaidia vikosi vya serikali ya Congo dhidi ya kundi la M23 katika mji wa Goma na vitongoji vyake wamepokelewa nchini Rwanda baada ya kushindwa vita Mamlaka kwenye mpaka huo inasema kuna jumla ya wapiganaji mamluki 288 walioingia Rwanda #bbcswahili #DRC #goma Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw