Skip to main content
Skip to main content

Manahodha wa timu ya olimpiki ya wasiosikia waelezea imani ya Kenya kuandikisha matokeo bora Tokyo

  • | NTV Video
    55 views
    Duration: 1:22
    Manahodha wa timu ya taifa ya olimpiki ya wasiosikia Isaac Atima na Linet Nanjala, wameelezea imani ya Kenya kuandikisha matokeo bora katika makala ya mwaka huu yatakayofanyika jijini Tokyo Japan kuanzia Novemba tarehe 15 hadi 26. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya