Marais wa EAC-SADC wahimiza kusitishwa mara moja kwa mapigano DRC

  • | KBC Video
    488 views

    Rais William Ruto amezitaka pande zote zinazohusika katika mzozo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kusitisha uhasama na kukumbatia mazungumzo. Rais Ruto ambaye aliongoza mkutano wa wakuu wa mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo ya kusini mwa Afrika mjini Dar Es Salaam, Tanzania alisisitiza haja ya kujitolea kwa dhati kuafikia amani endelevu, maendeleo na utangamano katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na kote katika kanda hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive