Marais wa SADC na EAC kukutana kuhusu vita DRC, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,359 views
    Marais wa nchi za jumuiya za maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC na ile ya Afrika Mashariki EAC wanakutana usiku huu kujadiliana kuhusu hali mbaya ya usalama ambayo inaendelea kushudiwa mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo.