- 204 viewsDuration: 2:52Mashindano ya kimataifa ya Ngamia maarufu "Maralal international Carmel Derby" ambayo huandaliwa Kila mwaka katika kaunti ya Samburu,yamekuwa kigezo kikuu katika kueneza amani na uwiano miongoni mwa jamii za wafugaji kaskazini mwa nchi.