Benki Kuu ya Tanzania yakiri kuwa deni la Taifa linazidi kukua, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    3,784 views
    Benki Kuu ya Tanzania imekiri kuwa deni la taifa hilo linazidi kukua, japo linahimilika na lipo ndani ya viwango vinavyokubalika kimataifa. Kauli hiyo imetolewa na Gavana wa benki hiyo Emmanuel Tutuba wakati wa mahojiano maalum na mwandishi mwandamizi wa BBC Florian Kaijage.