M23 wateka miji zaidi DRC, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    5,337 views
    Kundi la waasi la M23 limethibitisha kuuteka mji wa Walikale, ambao wamedai wameudhibiti kwa ajili ya kudumisha usalama wa raia katika eneo hilo pamoja na kulinda mali yao. M23 inasema japo imepiga hatua hii ya kupanua uongozi wake katika majimbo mawili ya Kivu Kusini na Kivu Kaskazini, itandelea kuheshimu makubaliano ya kusitisha amani yaliyoafikiwa mapema wiki hii.