'Mathee wa Ngara' ashtakiwa kwa ulanguzi wa dawa za kulevya tena

  • | Citizen TV
    741 views

    Nancy Indoveria Kigunzu anayefahamika kama "Mathee wa Ngara" na watu wengine wawili wamekanusha mashtaka ya ulanguzi wa dawa za kulevya. Hii ni baada ya kudaiwa kukamatwa na bangi ya thamani ya zaidi ya shilingi milioni tano. Kigunzu na wenzake watasalia korokoroni hadi Jumatatu wiki ijayo