| MATUKIO 2024 | Makovu ya mafuriko Mai Mahiu

  • | Citizen TV
    2,535 views

    Ni miezi minane tangu mkasa wa mafuriko kuwaangamiza watu zaidi ya 60 katika eneo la Mai Mahiu huko Naivasha kaunti ya Nakuru, na wengi wameonekana kuanza kujenga upya maisha yao. Hata hivyo, makovu ni dhahiri kwa waliowapoteza wapendwa wao, kwenye mkasa huo. Maryanne Nyambura alirejea eneo hilo na kuandaa makala ifuatayo.